simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Pare Mountain Ranges … Tanzania

leave a comment »

At the background ... Pare Mountain Ranges that link with Usambara Mountain Ranges. Middleground, road upgrading work in progress.

At the background … Pare Mountain Ranges that link with Usambara Mountain Ranges. Middleground, road upgrading work in progress.

Wilderness ... Mountain Ranges...

Wilderness … Mountain Ranges…

An investment at the foot of the mountain ranges ...

An investment at the foot of the mountain ranges …

Gas/Petrol station at the foot of the mountains... Similar investments have started dotting the Moshi - Dar es Salaam highway...

Gas/Petrol station at the foot of the mountains… Similar investments have started dotting the Moshi – Dar es Salaam highway…

Starting point of the mountain ranges from Moshi side ...

Starting point of the mountain ranges from Moshi side …

Safu za milima ya Upare na ile ya milima ya Usambara ni sehemu moja ya utajiri mkubwa ambao Tanzania inajivunia. Pengine swali ni kwamba ni kwa kiasi gani Taifa limekuwa na mipango ya kuhakikisha kwamba utajiri huu wa asili unavunwa kwa njia zenye tija kwa ajili ya maendeleo na usalama wa Taifa kwa ujumla. Wakati huohuo ni muhimu kujiuliza Taifa linaweka mikakati gani ili kuhakikisha kwamba vizazi vijavyo vitakuta utajiri huu ukiwa katika hali nzuri … mathalani kwamba misitu iliyo juu yake inaendelea kuwepo na wasije kurithi milima yenye vipara vya miamba mitupu. Tembelea Tanzania, jivunie Tanzania … nchi nzuri ajabu!

Advertisements

Written by simbadeo

January 15, 2013 at 8:09 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: