simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Watu … Mitaani Moshi

with one comment

Himo ... Standi ya Mabasi

Himo … Standi ya Mabasi

Wanapishana. Himo, Standi ya Mabasi.

Wanapishana. Himo, Standi ya Mabasi.

Kwenye moja ya mitaa ya Moshi Mjini.

Kwenye moja ya mitaa ya Moshi Mjini.

Binadamu huhitajiana. Ndiyo sababu hupenda kuwa kwenye vikundi. Watu hujisikia salama zaidi na wenye ujasiri zaidi wanapokuwa na wenzao, wanaopatana nao. Hapa ni katika moja ya mitaa ya Moshi Mjini.

Binadamu huhitajiana. Ndiyo sababu hupenda kuwa kwenye vikundi. Watu hujisikia salama zaidi na wenye ujasiri zaidi wanapokuwa na wenzao, wanaopatana nao. Hapa ni katika moja ya mitaa ya Moshi Mjini.

Noah. Kumbe magari haya ambayo hayana chassis bado yanaendelea kufanya biashara ya kusafirisha abiria Moshi? Kama kumbukumbu zangu ni sahihi kuna maelezo ya kitaalamu yalitolewa ili kuzuia magari haya kufanya biashara hiyo. Maana yanapofanya biashara hiyo, watu huswekwa kuzidi uwezo wa gari lenyewe. Mamlaka zipo tu zinatazama. Au magari haya ni ya hao walio kwenye mamlaka zinazohusika? Watanzania tubadilike na tuanze kuzingatia ushauri wa wataalamu.

Watu ni rasilimali muhimu sana. Unapotembea barabarani, watazame, wachunguze, fikiri kuhusu matendo na vitendo vyao. Utajifunza mengi. Utaona mengi. Kubwa zaidi pengine utagundua ni kwa kiasi gani hatutumii rasilimali hii kikamilifu kwa ajili ya maendeleo ya watu na dunia kwa ujumla. Tuwaenzi watu. Tuwatunze watu. Tuwasaidie waweze kutumia vipawa vyao kikamilifu. Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

January 10, 2013 at 12:37 am

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Greetings! Very helpful advice within this article!
    It’s the little changes that will make the biggest changes. Thanks for sharing!

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: