simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Happy New Year … Productive, Profitable, Peaceful

leave a comment »

Mwaka huu na uwe mzuri kwa bei ya bidhaa za mafuta ili uchumi wa walio wengi upate kutengemaa. Tuombee amani mashariki ya kati, tuombe kuwepo na utulivu wa kiuchumi huko Ulaya ili biashara duniani ishamiri, tuombe viongozi wetu wapate hekima katika kuleta matumizi yenye usawa zaidi kwenye rasilimali tulizojaaliwa kama nchi na ukanda wa Afrika Mashariki ...

Mwaka huu na uwe mzuri kwa bei ya bidhaa za mafuta ili uchumi wa walio wengi upate kutengemaa. Tuombee amani mashariki ya kati, tuombe kuwepo na utulivu wa kiuchumi huko Ulaya ili biashara ishamiri duniani, tuombe viongozi wetu wapate hekima katika kuleta matumizi yenye usawa zaidi kwenye rasilimali tulizojaaliwa kama nchi na ukanda wa Afrika Mashariki …

Miradi mikubwa itekelezwe kwa wakati na ilete manufaa kwa umma mzima.

Miradi mikubwa itekelezwe kwa wakati na ilete manufaa kwa umma mzima.

Ajira zenye hadhi zipatikane. Miradi inayosuasua ikwamuliwe. Ahadhi zitimizwe. Ubunifu chanya uibuliwe.

Ajira zenye hadhi zipatikane. Miradi inayosuasua ikwamuliwe. Ahadhi zitimizwe. Ubunifu chanya uibuliwe.

Advertisements

Written by simbadeo

January 1, 2013 at 12:27 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: