simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dawasco … Kwa Nini Ubunifu Huu Usiendelezwe?

leave a comment »

Nimeona ubunifu huu wa Dawasco. Nikawaza, wakazi wa jiji la Dar es Salaam ... tulio wengi ... ukiacha wale wa Masaki na Oyster Bay n.k. ... hatuna miundombinu ya uhakika ya usambazaji maji. Katika maeneo mengi, tunasambaziwa huduma hiyo na watu binafsi. Lakini kama Dawasco wakiendeza vituo kama hivi vya usambazaji kwa wingi katika maeneo mengi ya jiji, naamini matatizo ya maji yatapungua kwa kiasi kikubwa, lakini pia wakazi wengi watapata huduma hiyo kwa gharama nafuu kidogo kuliko hivi sasa tunapolipa kwa watu binafsi -- ambao hata hivyo tunawapongeza kwa huduma zao.

Nimeona ubunifu huu wa Dawasco. Nikawaza, wakazi wa jiji la Dar es Salaam … tulio wengi … ukiacha wale wa Masaki na Oyster Bay n.k. … hatuna miundombinu ya uhakika ya usambazaji maji. Katika maeneo mengi, tunasambaziwa huduma hiyo na watu binafsi. Lakini kama Dawasco wakiendeza vituo kama hivi vya usambazaji kwa wingi katika maeneo mengi ya jiji, naamini matatizo ya maji yatapungua kwa kiasi kikubwa, lakini pia wakazi wengi watapata huduma hiyo kwa gharama nafuu kidogo kuliko hivi sasa tunapolipa kwa watu binafsi — ambao hata hivyo tunawapongeza kwa huduma zao.

Advertisements

Written by simbadeo

December 30, 2012 at 11:24 am

Posted in Siasa na jamii

Tagged with , ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: