simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bonyokwa to Kimara … Barabara Inapitika

with 2 comments

Ni barabara inayounganisha Barabara ya Morogoro na Ile ya Kinyerezi/Segerea. Nimeitumia hivi karibuni. Inapitika. Inapobidi kukwepa foleni na kufupisha umbali ... unaweza kuitumia. Ni ya vumbi bado lakini yaelekea inapata baadhi ya huduma ndogondogo. Changamoto kubwa zaidi ni kwenye mwinuko huo mkali ambapo pembeni kuna mmomonyoko wa udongo. Vinginevyo, katika kufikiria zile 'ring roads' za jiji la Dar, hii nayo ipewe kipaumbele. Tunapoanza mwaka mpya, pengine hii iwe moja ya maazimio ya serikali -- kwa malengo ya kupunguza misululu na misongamano ya vyombo vya moto kwenye barabara kuu. Pamoja sana!

Ni barabara inayounganisha Barabara ya Morogoro na Ile ya Kinyerezi/Segerea. Nimeitumia hivi karibuni. Inapitika. Inapobidi kukwepa foleni na kufupisha umbali … unaweza kuitumia. Ni ya vumbi bado lakini yaelekea inapata baadhi ya huduma ndogondogo. Changamoto kubwa zaidi ni kwenye mwinuko huo mkali ambapo pembeni kuna mmomonyoko wa udongo. Vinginevyo, katika kufikiria zile ‘ring roads’ za jiji la Dar, hii nayo ipewe kipaumbele. Tunapoanza mwaka mpya, pengine hii iwe moja ya maazimio ya serikali — kwa malengo ya kupunguza misululu na misongamano ya vyombo vya moto kwenye barabara kuu. Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

December 30, 2012 at 11:15 am

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Vema kaka!
  Ukamilifu wake ni uwekezaji utaowezesha kuunganishwa na Mbagala na Tegeta.
  Huu mzuguko unaousubiriwa kwa hamu na utakapunguza msongamano katika maeneo kadhaa.Je hakuna hakuna uwezekano wa barabara ya Nyerere/Pugu kuweza kuungana na barabara ya Morogoro katika maeneo ya Mlandizi au pale inapowezekana?Je barabara ya Tandika-Buza haiwezi kuvuka hadi Kitunda-Gongo la Mboto?Wewe huamini kuwa hizi barabara za pembezoni ndiyo jawabu rahisi kwa misongamano inayozidi kukuwa badala kuwazia mambo mengine yenye gharama katika usanifu na utekelezaji wake?

  Like

  ray

  December 31, 2012 at 9:49 am

  • Naam Ray. Umenena. Wamekusikia. Naamini watatekeleza. Ingawa mara nyingi hatuna budi kuwapiga pressure. Pamoja sana!

   Like

   simbadeo

   December 31, 2012 at 6:58 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: