simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Heri ya Siku ya Kuzaliwa … Tina Bahati

leave a comment »

Tina Bahati akisubiri kuanza kwa tafrija fupi ya kumpongeza kwa kufunga/kutimiza miaka mitano tangu kuzaliwa kwake.

Tina Bahati akisubiri kuanza kwa tafrija fupi ya kumpongeza kwa kufunga/kutimiza miaka mitano tangu kuzaliwa kwake.

Akiwa na mama yake.

Akiwa na mama yake.

Keki maalumu kwa ajili ya tafrija ndogo ya Tina Bahati.

Keki maalumu kwa ajili ya tafrija ndogo ya Tina Bahati.

Alimchagua Fortu Temu (kushoto) kuwa msimamizi wake wakati wa tafrija hiyo ndogo.

Alimchagua Fortu Temu (kushoto) kuwa msimamizi wake wakati wa tafrija hiyo ndogo.

Kisha uliwadia wakati wa kukata keki ... nayo ilikatwa.

Kisha uliwadia wakati wa kukata keki … nayo ilikatwa.

Ulifika wakati wa kulishana keki ... Haya, mama huyu anapewa bonge ya kipande!

Ulifika wakati wa kulishana keki … Haya, mama huyu anapewa bonge ya kipande!

Duh! Tutamaliza kweli vipade hivi tulivyogawiwa?

Duh! Tutamaliza kweli vipade hivi tulivyogawiwa?

Baada ya matukio kadhaa ya zawadi, mlo hatimaye ulifika wakati wa 'kwaito' ...

Baada ya matukio kadhaa ya zawadi, mlo hatimaye ulifika wakati wa ‘kwaito’ …

Makala hii ni toleo maalumu la kumpongeza Martina Bahati aliyetimiza umri wa miaka 5 tangu kuzaliwa kwake tarehe kama ya leo. Shukrani kwa Mwenyezi Mungu maana Yeye ndiye mpangaji wa yote na Hakimu mwenye haki ambaye alionelea kwamba kijana wake huyu asherehekee siku kuu yake hii muhimu. Wanasayansi huchukulia umri wa miaka mitano kama mpaka wa watoto wakomavu zaidi kidogo na wale ambao bado wako katika hali tete … hasa kiafya. Pamoja sana.

Advertisements

Written by simbadeo

December 28, 2012 at 11:21 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: