simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Utulivu na Amani … Vilitawala

leave a comment »

Mitaa ilikuwa wazi ... hekaheka zilipungua sana.

Mitaa ilikuwa wazi … hekaheka zilipungua sana.

Hata usafiri haukuwa wa shida ... na daladala zilijaza wastani, si ule mlundikano uliozoeleka.

Hata usafiri haukuwa wa shida … na daladala zilijaza wastani, si ule mlundikano uliozoeleka.

Maeneo mengine kulikuwa na mikusanyiko kama kawaida ... kitu kidogo kitakusanya watu kwa idadi ya makumi ...

Maeneo mengine kulikuwa na mikusanyiko kama kawaida … kitu kidogo kitakusanya watu kwa idadi ya makumi …

Na si watoto pekee wenye shauku ya kwenda kutembelea kiwanja cha ndege ... Hata watu wazima wamo!

Na si watoto pekee wenye shauku ya kwenda kutembelea kiwanja cha ndege … Hata watu wazima wamo!

Ndiyo baadhi ya taswira wakati wa Sikukuu ya Noeli 2012.

Advertisements

Written by simbadeo

December 27, 2012 at 8:09 am

Posted in Siasa na jamii

Tagged with ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: