simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Merry Christmas … Heri ya Noeli

leave a comment »

Blogu hii inawatikia wafuatiliaji wake Heri, Baraka na Furaha ya Sikukuu ya Noeli. Kwa wale wanaopumzika leo, na iwe siku ya kujitafakari wapi tumekosea, wapi hatukufanya bidii kiasi cha kutosha ili kujiletea mabadiliko chanya, wapi hatukufanya vya kutosha kuongeza tija katika taasisi tunazozifanyia kazi pamoja na jamii kwa ujumla. Tutafakari suluhu na kuleta mwanzo mpya wa mabadiliko chanya na yenye tija kwa jamii ya wanadamu na kila mtu. Pamoja sana, endelea kuwa nasi kwenye blogu hii kwa habari za maisha ya Mtanzania wa kawaida na harakati zao za maendeleo. Baraka tele kwenu!

Advertisements

Written by simbadeo

December 25, 2012 at 9:14 am

Posted in Siasa na jamii

Tagged with ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: