simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Fuel … Nishati: Depleting Resources

leave a comment »

Malori kwa malori ya mkaa yanatiririka kuingia Dar es Salaam.

Malori kwa malori ya mkaa yanatiririka kuingia Dar es Salaam.

Tunateketeza misitu. Hatukumbuki kupanda miti ... eti tunaganga njaa ya leo. Je, kwa kutopanda kwetu miti mingine ... hao watakaokuja kuishi baadaye wataganga njaa zao kwa njia gani wakati misitu yote wewe umeimaliza ... umeshinda kuitetea au umeshiriki moja kwa moja kwenye biashara hiyo ili kujipatia kitambi ulicho nacho ... Acha bwana. Tutunze misitu ili nayo itutunze!

Tunateketeza misitu. Hatukumbuki kupanda miti … eti tunaganga njaa ya leo. Je, kwa kutopanda kwetu miti mingine … hao watakaokuja kuishi baadaye wataganga njaa zao kwa njia gani wakati misitu yote wewe umeimaliza … umeshinda kuitetea au umeshiriki moja kwa moja kwenye biashara hiyo ili kujipatia kitambi ulicho nacho … Acha bwana. Tutunze misitu ili nayo itutunze!

Inasikitisha sana kuona jinsi kanda zilizokuwa za kijani katika nchi yetu zinavyogeuka kuwa vipara vya miamba na udongo. Ni lazima sote tuchukue hatua. Tunachokifanya sasa ni kama kukata tawi la mti huku tukiwa tumelikalia … tena tawi lenyewe liko juu sana … mwanguko wake hautasemeka. Tulinde mazingira. Gesi inayozidi kuvumbuliwa nchini na isaidie kuleta nishati mbadala kwa gharama nafuu ambayo kila Mtanzania wa kipato cha juu, cha kati na cha chini atamudu! Viongozi wetu tungeni sera madhubuti and you should walk your talk! History will condemn you if you don’t do that! Tunawaona. Tunawafuatilia. Tutawawajibisha!

Advertisements

Written by simbadeo

December 25, 2012 at 9:08 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: