simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Taswira … Mitaani Dar

with 2 comments

Duh! Hatari kweli kweli!

Duh! Hatari kweli kweli!

Ya barabarani huwa hayatabiriki ... Yafaa kujiandaa kikamilifu.

Ya barabarani huwa hayatabiriki … Yafaa kujiandaa kikamilifu.

Utalii kwa mtandao. Ni wakati sasa kampuni za utalii nchini zishirikiane na zile za nje katika biashara ili kuhakikisha wao nao wanapata kiasi cha kueleweka. Jamaa hawa wasifanye tu kupita njia hapa na kufurahia mandhari yetu baada ya kuwa wameshalipa kampuni la nje.

Masuala mengine ni vigumu kugundua mantiki yake. Kwa hiyo, jamaa anapiga fegi yake akiwa juu na gari likiwa kwenye mwendo.

Masuala mengine ni vigumu kugundua mantiki yake. Kwa hiyo, jamaa anapiga fegi yake akiwa juu na gari likiwa kwenye mwendo.

Wiki njema ya kumalizia mwaka. Krismas njema. Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

December 24, 2012 at 12:11 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

  1. Huyu anaevuta sigara kwa kweli ni ngumu haswa kielewa lengo lake, huko kwenye hatari ya kusababisha ajali mbaya

    Like

    Zamda Ramadhani

    December 25, 2012 at 6:33 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: