simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kuelekea Noeli … Mitaa, Manunuzi

leave a comment »

Mlimani City hivi sasa pana hekaheka nyingi ... na Mapambo kuashiria majira ya mwaka ...

Mlimani City hivi sasa pana hekaheka nyingi … na Mapambo kuashiria majira ya mwaka …

Wapo wanaouza. Wapo wanaonunua. Mabadilishano. Dukani. Barabarani. Sokoni. Mitaani. Biashara zimeshamiri.

Wapo wanaouza. Wapo wanaonunua. Mabadilishano. Dukani. Barabarani. Sokoni. Mitaani. Biashara zimeshamiri.

Mitaa mingine imejaa utulivu ... ni Kinyerezi hapa.

Mitaa mingine imejaa utulivu … ni Kinyerezi hapa.

Matangazo pia ya moja moto, moja baridi. Kazi ni kwako kuchagua ...

Matangazo pia ya moja moto, moja baridi. Kazi ni kwako kuchagua …

Yote ni heri. Niwatakie heri na baraka tele tunapoelekea Krismas 2012. Naamini saa hizi mitaa ya Uchagani na Upareni hapatoshi. Hekaheka ni nyingi. Lakini kikubwa tusimsahau Mungu. Tume Mungu nafasi ya kwanza, maana vyote hutoka kwake na yeye ndiye anayetugawia. Tusiweke utu pembeni, tuzingatie sheria za nchi, kila mmoja pale alipo adumishe amani maana sikukuu ya Noeli ni sikukuu ya MLETA AMANI, MPATANISHI, MTETEZI wa UHURU wa utashi na akili. Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

December 23, 2012 at 2:17 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: