simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ushindani wa Biashara … Kukabana Koo

leave a comment »

Idadi ya vituo vya mafuta inaongezeka kwa kasi sana. Mathalani katika Barabara ya Mandela jijini Dar, sina hakika viko vingapi, lakini ni vingi ... kwa haraka haraka ni kiasi cha 10 hivi. Huenda hii ni dalili nzuri? Uchumi unakua? Pengine. Au kuna ubwerere katika biashara hii hapa nchini ... kwamba watu wanaweza kuchuma 'super profit'? Labda. Hivi sasa 'huduma' imesogezwa hadi karibu kabisa na makazi ya watu. Hapo nyumba kidogo tu yapata mita 250 kutokea Segerea utakuta kituo kingine. Ama kwa hakika ushindani unapamba moto. Watanzania tuamke na kujifunza mbinu nzuri za haki za kushindana ... maana kuna hatari pia ya kushindana kwa njia zisizo za haki. Pamoja sana! Tuendeleze ushindani wenye manufaa ili sote tuendelee!

Idadi ya vituo vya mafuta inaongezeka kwa kasi sana. Mathalani katika Barabara ya Mandela jijini Dar, sina hakika viko vingapi, lakini ni vingi … kwa haraka haraka ni kiasi cha 10 hivi. Huenda hii ni dalili nzuri? Uchumi unakua? Pengine. Au kuna ubwerere katika biashara hii hapa nchini … kwamba watu wanaweza kuchuma ‘super profit’? Labda. Hivi sasa ‘huduma’ imesogezwa hadi karibu kabisa na makazi ya watu. Hapo nyumba kidogo tu yapata mita 250 kutokea Segerea utakuta kituo kingine. Ama kwa hakika ushindani unapamba moto. Watanzania tuamke na kujifunza mbinu nzuri za haki za kushindana … maana kuna hatari pia ya kushindana kwa njia zisizo za haki. Pamoja sana! Tuendeleze ushindani wenye manufaa ili sote tuendelee!

Advertisements

Written by simbadeo

December 18, 2012 at 12:35 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: