simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Jumapili Njema … Amani Idumu Tanzania

leave a comment »

Kanisa Katoliki Msimbazi Dar es Salaam

Upatapo nafasi ya kuingia kwenye nyumba za ibada, fanya hivyo. Wimbi la atheism — kutoamini kuhusu Mungu na uwepo wake — linazidi kukua duniani. Ni upepo unaopaswa kupigwa vita. Tusiige mambo ya kwenye sinema. Tazama Marekani leo hii wanavyomlilia Mungu baada ya mauaji katika shule kule Connecticut. Wanasema nini kwa wale waliouwawa, wengi wao wakiwa watoto kati ya miaka 5 na 10 … wanasema Rest In Peace (R.I.P.) … yaani Pumzika kwa Amani. Kwa kutamka kauli hii mtu unakiri ‘uwepo wa maisha baada ya maisha’ …. Lakini hiyo pia ina maana kwamba kuna Mungu. Pamoja sana kila.

Advertisements

Written by simbadeo

December 16, 2012 at 1:25 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: