simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Daraja Maarufu Dar … Mbuyu Maarufu Dar

leave a comment »

Limeimbwa. Limetajwa kwenye hadithi. Limeandikwa sana kwenye stori za magazeti. Limepigwa sana picha -- za mnato na za video. Lina historia ndefu. Sina hakika ni maelfu mangapi ya wakazi wa Dar na wageni wanaovuka hapo kwa siku -- lakini watakuwa kwa maelfu. Hapo hatujapiga hesabu za magari na vyombo vingine vya usafiri. Tuitunze historia hii.

Limeimbwa. Limetajwa kwenye hadithi. Limeandikwa sana kwenye stori za magazeti. Limepigwa sana picha — za mnato na za video. Lina historia ndefu. Sina hakika ni maelfu mangapi ya wakazi wa Dar na wageni wanaovuka hapo kwa siku — lakini watakuwa kwa maelfu. Hapo hatujapiga hesabu za magari na vyombo vingine vya usafiri. Tuitunze historia hii.

Pamoja na hatari zake katika mitaa ya Dar ... lakini mimi naukubali usafiri huu. Hufungwi na foleni. Kupigwa mkono na trafiki ni mara moja moja. Gharama nafuu. Ila ... duh ... roho mkononi.

Pamoja na hatari zake katika mitaa ya Dar … lakini mimi naukubali usafiri huu. Hufungwi na foleni. Kupigwa mkono na trafiki ni mara moja moja. Gharama nafuu. Ila … duh … roho mkononi. Hapa ni Mbuyuni, Oyster Bay jirani kabisa na Kanisa Kuu la Mt Petro.

Advertisements

Written by simbadeo

December 13, 2012 at 2:03 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: