simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Madereva na Mafunzo … Ajali Kupungua?

leave a comment »

Majuma ya karibuni nilikutana na hii -- gari linalotumiwa na VETA Dar es Salaam  kutoa mafunzo ya udereva. Hii ni hatua muhimu sana. Mara nyingine ninapopata nafasi ya kuwasikiliza waliopitia mafunzo ya udereva miaka ya 60 hadi 70, huwa ninajiuliza ikiwa bado umakini katika kutoa mafunzo ungalipo. Takwimu za ajali na jinsi watu wanavyopoteza maisha ni baadhi ya mambo ambayo yanaonyesha dhahiri kabisa kwamba tuna watu wengi wanaojua kuongoza magari/vyombo vya moto ... lakini si madereva kwa maana ya SANAA na SAYANSI. Ni muhimu sana kwa Idara ya Jeshi la Polisi-Usalama wa Barabarani wasimamie, wamiliki na kumudu vema namna taaluma hiyo ya udereva inavyopanuka. Mahitaji ni makubwa kulinga na kasi ya kukua kwa uchumi ... lakini lazima kutoa wanataalama walio bora na wanaozingatia maadili ya taaluma. Hiyo ni ikiwa tunataka kudhibiti matukio ya ajali ambayo kila kukicha tunayasikia na mara nyingine kuyashuhudia. Pamoja sana.

Majuma ya karibuni nilikutana na hii — gari linalotumiwa na VETA Dar es Salaam kutoa mafunzo ya udereva. Hii ni hatua muhimu sana. Mara nyingine ninapopata nafasi ya kuwasikiliza waliopitia mafunzo ya udereva miaka ya 60 hadi 70, huwa ninajiuliza ikiwa bado umakini katika kutoa mafunzo ungalipo. Takwimu za ajali na jinsi watu wanavyopoteza maisha ni baadhi ya mambo ambayo yanaonyesha dhahiri kabisa kwamba tuna watu wengi wanaojua kuongoza magari/vyombo vya moto … lakini si madereva kwa maana ya SANAA na SAYANSI. Ni muhimu sana kwa Idara ya Jeshi la Polisi-Usalama wa Barabarani wasimamie, wamiliki na kumudu vema namna taaluma hiyo ya udereva inavyopanuka. Mahitaji ni makubwa kulinga na kasi ya kukua kwa uchumi … lakini lazima kutoa wanataalama walio bora na wanaozingatia maadili ya taaluma. Hiyo ni ikiwa tunataka kudhibiti matukio ya ajali ambayo kila kukicha tunayasikia na mara nyingine kuyashuhudia. Pamoja sana.

Advertisements

Written by simbadeo

December 9, 2012 at 9:16 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: