simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Sanaa … Zipo Nyingi, Fungua Macho

leave a comment »

Ukifungua macho ... utaona sanaa ... kazi ya ubunifu. Hapa tunaweza kutofautisha kazi za kukurupuka na kazi zilizotulia. Majengo tunayojenga siku hizi yanazidi kupoteza sanaa iliyo sanaa ... sasa sijui ni kwa sababu ya matumizi holela ya computers na zana zake?

Ukifungua macho … utaona sanaa … kazi ya ubunifu. Hapa tunaweza kutofautisha kazi za kukurupuka na kazi zilizotulia. Majengo tunayojenga siku hizi yanazidi kupoteza sanaa iliyo sanaa … sasa sijui ni kwa sababu ya matumizi holela ya computers na zana zake?

sanaa 3

sanaa

Pamoja na vurugu nyingi katika ujenzi wa majengo makubwa kwa madogo pamoja na miundo mbinu katika jiji la Dar, bado tunaweza kuokoteza kazi za sanaa zilizotulia. Ukifungua macho … utaziona. Hata hivyo, kwenye mazao hakukosi magugu … ndivyo ilivyo katika madhari tunayoona.

Advertisements

Written by simbadeo

December 6, 2012 at 1:07 am

Posted in Siasa na jamii

Tagged with ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: