simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

R.I.P. Jackson Makweta … You’ll Be Missed

with 2 comments

Duru za habari kutoka Mkoani Dar es Salaam zinasema Waziri wa zamani wa Sayansi na Teknolojia/ vilevile Elimu nchini na Mbunge wa Jimbo la Njombe Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (1975 – 2000) Mheshimiwa Jackson Mvangira Makweta amefariki duniani jioni hii.

Naibu Waziri wa Wizara ya Maji Dk. Binilith Mahenge ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Makete amesema majira ya saa 1:30 jioni hii Mbunge huyo amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Dk. Mahenge amesema majira ya jioni alipokwenda kumjulia hali Kiongozi huyo wa zamani, hali yake ilikuwa taabani sana.

Chanzo cha habari: Vyombo mbalimbali vya habari vya Kiraia (Citizen Media)

Blogu hii inawapa Watanzania wote — hasa wanafamilia na wanaNjombe — pole nyingi kwa kuondokewa na Mzee Makweta. Mwenyezi Mungu Ampe Pumziko la Milele na Mwanga wa Milele Amwangazie. Amina.

Advertisements

Written by simbadeo

November 17, 2012 at 11:48 pm

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

  1. Mwenyezi Mungu awape wanafamilia wote nguvu kwa kipindi hiki kigumu. Marehemu astarehe kwa amani peponi. Amina

    Like

    Yasinta Ngonyani(kapulya)

    November 18, 2012 at 12:25 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s