simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Obama, Americans win over extremism … Congratulations America!

leave a comment »

Barack Obama re-elected for second term as US president

Supporters cheer after networks project an Obama victory. (Chip Somodevilla/Getty Images)


Barack Obama wins election for second term as president

President Barack Obama handily defeated Gov. Mitt Romney and won himself a second term Tuesday after a bitter and historically expensive race that was primarily fought in just a handful of battleground states. Networks project that Obama beat Romney after nabbing the crucial state of Ohio.

The Romney campaign’s last-ditch attempt to put blue-leaning Midwestern swing states in play failed as Obama’s Midwestern firewall sent the president back to the White House for four more years. Obama picked up the swing states of New Hampshire, Michigan, New Mexico, Iowa, Wisconsin, Pennsylvania, Minnesota, and Ohio. Florida and Virginia are still too close to call, but even if he won them, they would not give Romney enough Electoral College votes to put him over the top. The popular vote will most likely be much narrower than the president’s Electoral College victory.

The Obama victory marks an end to a years-long campaign that saw historic advertisement spending levels, countless rallies and speeches, and three much-watched debates.

Source: Yahoo! News.

Ushindi wa Rais Obama katika uchaguzi wa Marekani unatufundisha nini:

1. Tunaweza kushinda tofauti zetu kwa kuzingatia zaidi uwezo wetu katika utendaji – hatuna budi kuzishinda nafsi zetu katika masuala ya udini, ukabila, kuwa nacho, kundi la marafiki zetu, tofauti za uanachama wetu kwenye siasa n.k.

2. Tunapoanzisha jambo kubwa lenye maslahi kwa Taifa, tusiyumbeyumbe … tufunge mikanda na kuhakikisha tunaendelea kusaka mafanikio katika hilo ije mvua lije jua, uje ukame, yaje mafuriko … msimamo. (Mathalani, kama tuliamua kuwa Wajamaa … kwa nini tusiendeleze Ujamaa huo ambao bado unatajwa hata kwenye Katiba Yetu Tukufu?)

3. Tunapofanya chaguzi zetu … mara zote tuweke maslahi ya Taifa zima juu kuliko kitu kingine chochote … iwe dini, kabila, asili na hata itikadi ya siasa.

4. Kujenga utaifa ni jukumu la kila raia … ni mradi wetu sote kila mmoja kwa nafasi yake. Kila mmoja afanye bidii kuhakikisha tunapata mafanikio katika hilo. Hii ni hata kama matunda ya juhudi zetu hatutayaona katika kipindi cha uhai wetu, lakini tutambue kwamba wajukuu na vitukuu vyetu watakuwa mahali bora zaidi.

5. Kujenga uchumi wa Taifa si lelemama, ni vita, ni mapambano. Sote hatuna budi kushiriki kikamilifu. Tushikane mikono sote ili kila mmoja aendelee na si kikundi cha watu wachache kama tunavyozidi kushuhudia makundi yanavyojijenga katika Taifa letu.

Kuna mengi sana ya kujifunza. Nimetaja machache tu.

Pamoja sana

Advertisements

Written by simbadeo

November 7, 2012 at 8:29 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: