simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Lyamba la Mfipa Village Hotel … Mpanda

with 4 comments

Unapoingia … unakutana na jengo hili

Cottages za hoteli hiyo …

Alama ya kuelekeza hotelini iliyo kando ya ukuta unaoizunguka …

Sikupata muda mrefu wa kuketi hapo na kufurahia huduma zao. Lakini ni matumaini yangu kwamba mwonekano na huduma vitakuwa vinashabihiana.

Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

October 19, 2012 at 1:42 am

Posted in Siasa na jamii

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. ni pazuri panavutia kwa kweli!!

  Like

  Yasinta Ngonyani

  October 19, 2012 at 8:17 am

 2. big up Katavi region is comming up tuko pamoja ila mbona hujafika mwese?

  Like

  reuben

  October 19, 2012 at 4:05 pm

  • Reuben, asante kwa maoni. Picha hizi nilichukua nilipokuwa Mpanda mwezi Julai. Kipindi hicho nilifika Mwese Pia. Tuombe Mungu. Pengine mwakani nitafika tena. Nyumbani ni nyumbani … au siyo?

   Like

   simbadeo

   October 19, 2012 at 4:52 pm

 3. Asante na hongera kwa kufika mpanda mi kwetu ni mpanda hoteli but now nipo mbali sn na home nipo mtwara but one dy ntaenda kupaona kwet ni kitambo sn sijafika nasikia kumekucha tofaut na nilivyopaacha.Oooh! l miss ma home so much!

  Like

  Majaliwa kamkungulu

  December 1, 2013 at 5:27 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: