simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Usafiri Vijijini … Hali Ikoje?

leave a comment »

Mwendo ni malori

Watu, mizigo twende tu …

Lazima chombo chenu cha usafiri kiwe na wataalamu kama hawa … la sivyo kunakuwa na hatari ya kulala porini.

Kuna changamoto nyingi katika sekta ya usafiri wa abiria na mizigo vijijini. Kwa kiasi kikubwa malori bado yana nafasi ya pekee. Mh Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Enjia Manyanya ametangaza kupiga marufuku matumizi ya malori. Huenda hatua hii ni muhimu ili kupunguza makali ya ajali za barabarani kama iliyotokea hivi majuzi mkoani humo na kuua watu wengi. Hata hivyo, tunapopiga marufuku jambo fulani, ni vema kutafuta pia ufumbuzi kwa ombwe litakalobaki hapo. Je, wasafiri kama hao hapo juu wasiporuhusiwa kusafiri kwa malori, watumie usafiri gani mwingine? Je, kuna mabasi ya kutosha kutoa huduma hiyo? Je, suala lipo katika kutumia malori ili kusafiri au ni kukosekana kwa utamaduni wa kuheshimu sheria za barabarani na sanaa ya udereva? Askari wa usalama barabarani — wanatimiza wajibu wao? Abiria, je, nao wanatimiza wajibu wao? Wadau wengine je? Bado kuna maswali mengi kuhusu hili. Uamuzi wa haraka haraka huenda usiwe na tija kwa pande zote zinazohusika.

Pichani juu ni hivi karibuni huko mkoani Rukwa. Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

August 20, 2012 at 11:35 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: