simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar es Salaam Mashariki/East Dar es Salaam … Taswira

leave a comment »

Askari wa usalama barabarani kazini katika makutano ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Kinondoni …

Panajieleza …

Kwa mbele kidogo ni Ubalozi wa Jamhuri ya Namibia …

Kituo cha Kona …

Nawaza tu. Kwa nini matangazo haya ya ‘tiba ya mapenzi, kuongeza bahati, kuondoa nuksi, kutibu nini sijui n.k.’ yametawala mahali pengi jijini Dar na hata mikoani? Na uwingi huu wa matangazo unamaanisha kwamba hawa ‘waganga’ wana wateja wengi ndiyo sababu biashara hiyo inashamiri sana. Hivi kweli hatuna mambo ya maana zaidi ya kuzingatia kuliko haya … Kwa nini lakini? Yaani tumebaki kuwa nchi inayoshamiri sana kuhusu masuala ya ‘ushirikina’ … Aaah. Mbaya sana namna hii … Hivi ile marufuku iliyowahi kutolewa na Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuzuia biashara za waganga iliishia wapi? Kwa nini bado wanaendelea?

Ni taswira chache za Dar es Salaam Mashariki.

Advertisements

Written by simbadeo

August 12, 2012 at 12:36 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: