simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Celebrating Farmer’s Products … Heri ya Sikukuu ya Wakulima

with 2 comments

Maharage ya ukweli …

Ndizi za ukweli …

Mahindi ambayo kweli ni mahindi …

Bidhaa za mkulima sokoni …

Jembe halimtupi mkulima …

Kwa ushahidi huo hapo juu, je, Watanzania tuna haja gani ya kutumia Genetically Modified Foodstuffs? Tuna ardhi ya kutosha kujilisha wenyewe na kupata ziada ya kuuzia ulimwengu mpya. Kwa nini tunaelekea kupokea mambo ya GMO? Mbona wao wenyewe kule kwao hawana mpango na GMOs? Jamani, tule vyakula vya asili, tule vyakula tunavyolima wenyewe nchini, tuendeleze tu ubora wa mbegu zetu wenyewe. Si tunayo Agricultural Seeds Agency (ASA) … basi hii itusaidie kudumisha mbegu zetu wenyewe na si mambo ya GMOs!

Happy Wakulima Day kwa wakulima na watoto wa wakulima wote (hata kama wengine wamejisahau kwamba wao wamefika hapo walipofika kwa sababu ya jembe walilokamata watangulizi wao!).

Advertisements

Written by simbadeo

August 8, 2012 at 10:36 am

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

  1. WAKULIMA OYEEEEEEEEEEEEEEE

    Like

    yasinta/kapulya

    August 8, 2012 at 2:28 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: