simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kitonga … Iko Mbele Kidogo tu

leave a comment »

Unakaribia kufika Kitonga … kwenye zile kona za maajabu na hatari nyingi. Ama kwa hakika tumvulie binadamu kofia kwa kazi aliyofanya. Kwa nini siku hizi hatuendelezi maajabu haya … ya kupasua miamba, kuchonga njia kwenye majabari, kufanya miradi mikubwa mikubwa ambayo itadumu vizazi na vizazi? Kwa nini tunang’ang’ania kufanya tumiradi tudogotudogo tu ambato hata kudumu hividumu? Kwa nini tusifikiri kujenga ‘haramu’ (pyramids) … hiyo ikiwa ni lugha ya picha kwa ‘mambo makubwa’? Duh, fikra hizi bwana … acha tu zining’ang’anie!

Advertisements

Written by simbadeo

August 7, 2012 at 10:54 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: