simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Biashara ya madini na usafirishaji vifurushi … Mpanda

leave a comment »

Tangazo la kampuni inayonunua madini rejareja kutoka kwa wananchi. Je, maeneo mengine nchini bei zikoje? Hebu tuwekeeni hapa ili wananchi waweze kulinganisha na bei hizi waone zipi zenye kuwalipa zaidi. Tupeane habari.

Hapa ni katika Soko Kuu la mjini Mpanda, mkoani Katavi. Ni kijiwe cha kupakia na kupakua vifurushi na mizigo midogo midogo inayoingia na kutoka katika mji huu kutoka maeneo mbalimbali nchini, hususan kutoka jijini Dar es Salaam. Big up sana kwa huduma hii.

Advertisements

Written by simbadeo

August 3, 2012 at 11:04 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: