simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mwese Kiangazi … Taswira mchanganyiko

with 2 comments

Ni wakati wa kiangazi. Barabara inayoelekea zahanati ya Mwese.

Mmea huu unaitwaje … kwa wanaoujua?

Matunda haya yanaitwa Mantongwa. Linapoiva linakuwa na rangi ya njano. Unalipasua na unakutana na tunda na ujiuji mtamu sana ndani yake.

Hii ni nyumba ya kufikizia wageni ya Katavi, Mwese

Burudani ya soka katika uwanja wa mpira ulio pale Namba Mbili …

Kupanda Namba Mbili … Kwanza utavuka bonde hapo katikati kisha utapandisha kilima …

Advertisements

Written by simbadeo

July 30, 2012 at 10:11 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Mantongwa kwetu tunaita MADONGA umenikumbusha mbali sana nayapenda matunda haya si mchezo…Ahsante kwa taswira nyingine…

  Like

  yasinta/kapulya

  July 31, 2012 at 3:29 pm

 2. picha nzuri zinaonyesha madhingira ya kufurahisha kwa yeyote anaeifaham mwese

  Like

  ERICK VIANEY MASONGA

  April 20, 2014 at 11:04 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: