simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Urembo … wa asili

with one comment

Ususi … urembo usiotumia kemikali wala dawa za viwandani. Tuupe nguvu ili kwamba dada zetu waondokane na utegemezi wa mawazo kwamba hawawezi kuonekana warembo na kuvutia pasipo kutumia nywele za bandia na kemikali za kurekebisha nywele zao. Ni vizuri kujibukali vile watu walivyoumbwa. Kwa nini mtu ujichubue, kwa nini mtu ujivishe mawigi, kwa nini ujisilibe na kemikali kibao … wewe ni wewe tu hata ujipake dhahabu, utabaki kuwa wewe!

Advertisements

Written by simbadeo

July 29, 2012 at 2:43 pm

Posted in Siasa na jamii

Tagged with , , , ,

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Binadamu hatosheki kwa kweli tungejua uzuri/urembo wa asili ni bomba la zawadi..Na sasa hata kaka zetu nao wanaharibu nywele zao…

    Like

    yasinta/kapulya

    July 29, 2012 at 3:32 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: