simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kifungua kinywa … kwa mama

with 5 comments

Baada ya kifungua kinywa hiki … nipo tayari kunyanyua magunia ya mahindi. Ndiyo raha ya kumtembelea mama. Ilikuwa furaha sana. Mpanda …ooh Mpanda … Mpanda nitarudi tena ooh! Hivi karibuni … Tehe Tehe Tehe!!!

Advertisements

Written by simbadeo

July 29, 2012 at 12:47 am

Posted in Siasa na jamii

5 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Bongo la kifungua kinywa hii ndiyo raha kweli ya kuwa nyumbani.. sio haya mamikate mikate(mabofula)

  Like

  yasinta/kapulya

  July 29, 2012 at 2:43 pm

  • Umenena Binti Kapulya … uwapo shamba, mara umepata magimbi, mara muhogo, hujakaa sawa kiazi kitamu, mara muwa … basi ili mradi ni full kufaidi … aaa Ngoja nihamie kijijini mie!

   Like

   simbadeo

   July 29, 2012 at 2:48 pm

 2. ukihamia kijijini nitakufuata maaana napenda kweli vyakula vya asili 🙂

  Like

  yasinta/kapulya

  July 29, 2012 at 3:16 pm

  • Basi, tufungashe virago kesho … Twenzetu Kijijini Gezaulole … au siyo …

   Like

   simbadeo

   July 29, 2012 at 10:54 pm

   • Mim hayo Magimbi tu du nayatamanije!!

    Like

    dorine

    July 30, 2012 at 11:28 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: