simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bei ya Mafuta … Nairobi

with one comment

Ndiyo wastani wa bei ya mafuta katika jiji la Nairobi, Kenya. Kwa kulinganisha na Bongo tofauti ni ndogo sana. Dar es Salaam ni jiji la bandari, ambapo gharama ya usafirishaji mafuta ni ya chini. Jiji la Nairobi si jiji la bandari, kwa maana kwamba mafuta hayana budi kusafirishwa kutoka Bandari ya Mombasa. Kuna gharama hapa ya usafirishaji. Pengine Ewura na wengine wanaohusika wanaweza kutueleza siri ya bei ya mafuta Dar kuwa karibu sana na ile ya Nairobi, wakati ambapo Dar ni jiji la bandari na Nairobi si jiji la bandari. Hebu tuelimisheni wengine wenye vichwa vigumu …

Advertisements

Written by simbadeo

July 29, 2012 at 11:10 pm

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. You keep it up now, unsendtard? Really good to know.

    Like

    Monkey

    May 9, 2017 at 8:47 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: