simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mwese … mazao

leave a comment »

Tarafa ya Mwese iliyo katika Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi inastawi mazao ya aina mbalimbali. Hivi sasa kilimo cha kahawa kimeanza kushamiri. Sanjari na kilimo hicho, zao la migomba, ambalo limekuwepo kwa miaka mingi nalo linaendelea vema. Picha ni za hivi karibuni nilipofanya ziara ya siku moja katika tarafa hiyo. Picha zaidi zitafuatia kadiri nafasi itakavyoniruhusu. Karibu.

Advertisements

Written by simbadeo

July 24, 2012 at 10:47 pm

Posted in Siasa na jamii

Tagged with , , , , ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: