simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mwese … Kanisa Katoliki

with 5 comments

Kanisa Katoliki Mwese, mwonekano wake wa sasa kwa nje.

Kwaya ya Kanisa Katoliki Mwese wakiwa mazoezini.

Nyumba ya Paroko wa Kanisa Katoliki Mwese

Iliyokuwa nyumba ya Paroko zamani, hivi sasa inatumika kama chumba cha ofisi ya parokia.

Mandhari ya ndani ya kanisa…

Advertisements

Written by simbadeo

July 24, 2012 at 11:08 pm

Posted in Siasa na jamii

Tagged with , , , , ,

5 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. tukiamua twaweza, maendeleo hayaletwi na miujiza ni sisi! Mungu awabariki Parokia ya Mwese! na wengine waliochangia.

  Like

  jennifer

  July 25, 2012 at 7:55 am

  • Amen. Da Jennifer … hatuna budi kutambua ulichokisema. Tusitegemee miujiza kutoka nje … sisi wenyewe ndiyo tuwe vyanzo vya hiyo miujiza … yaani tufanye bidii zaidi. Shukrani.

   Like

   simbadeo

   July 25, 2012 at 10:00 pm

 2. Bwana Yesu atukuzwe milele.
  Nawasalimu sana wakristo wote wa Parokia ya Mwese.
  Je, kwaya ya Mtakatifu Sesilia, ambayo mmoja wa waasisi wake ni Marehemu mzee Christian KAGARAMA (baba yangu), bado ipo?

  BWANA YESU AWE NANYI DAIMA NA MILELE.

  Like

  Rwaka rwa Kagarama.

  November 16, 2015 at 4:32 pm

  • Ndugu Rwaka

   Asante sana kwa maoni uliyoweka hapa. Asante sana kwa shairi lile zuri. Binafsi, nimehemewa, nakosa neno la kufaa linalotosha kuonyesha shukrani yangu kwako. Itoshe tu kusema, asante sana.

   Mwalimu Mkuu katika Shule ya Sekondari Mwese ni Bw. Reuben Swilla. Unaweza pia kumtafuta kupitia Facebook kwa jina hilo. Utampata kwa mawasiliano zaidi.

   Pamoja sana. Ni kweli tukumbuke asili yetu. Tukumbuke kule tulikotoka na kupita. Tuonyeshe shukrani kwa namna yoyote tunayoweza.

   Kila la kheri kwa kila mwana-Mwese (kwa kuzaliwa, kuishi au asili).

   Like

   simbadeo

   December 1, 2015 at 10:24 am

 3. Shukrani sana Bwana Deo,
  Ninachokuomaba tu ni tusikome kuwasiliana.

  MOLA AKUPATIE MAISHA MAREFU YENYE BARAKA TELE.

  Like

  Rwaka rwa Kagarama.

  December 2, 2015 at 4:14 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: