simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Egypt: Ushering in newleadership … Hosni Mubarak ‘clinically dead’

leave a comment »

According to MENA report from Egypt, 84-year-old Hosni Mubarak was declared ‘clinically dead’ after he suffered a stroke and failed to respond to revival efforts. He was taken to the Madhi Military Hospital. At the same time, the country is facing a very tense moment as it awaits for the final results of the presidential run-off election held on Sunday. So far, the Islamic Brotherhood has been claiming victory against the former Mubarak’s Prime Minister. Wakati hali ikiwa bado ni tete kule Misri kufuatia uchaguzi wa rais uliofanyika Jumapili, kuna taarifa kwamba Rais wa zamani wa nchi hiyo, Hosni Mubarak, yuko katika hali ambayo kitabu ni ‘tayari amekufa’. Rais huyo alihukumiwa hivi karibuni kifungo cha maisha gerezani. Kwa taarifa za hivi punde, alizidiwa baada ya kupatwa na kiharusi na juhudi za kufanya moyo wake uendelee kufanya kazi zimeshindikana. Wafuasi wa Kundi la Islamic Brotherhood wamekuwa wakidai kwamba mgombea wao ameshinda uchaguzi huo wa rais. Hivi sasa wamejaa katika viwanja vya Tahrir. Wapo wanaodai kwamba kutangazwa kwa hali ya Mubarak ni minong’ono tu. Hosni Mubarak ana umri wa miaka 84 na alifurushwa kutoka madarakani kwa maandamano ya umma mapema mwaka jana.

NYONGEZA: Hadi ninapoandika sentensi hii tayari ni tarehe 21 na hali ya rais wa zamani Hosni Mubarak inaelezwa kuwa ni taabani mno. Taafia ya MENA imepingwa vikali kwamba ilikuwa ya upotoshaji na kwa hiyo siyo ya kuaminika. Tupo pamoja.

Advertisements

Written by simbadeo

June 20, 2012 at 1:26 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: