simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ushuru … Wafanyabiashara wadogo wadogo

with one comment

Stakabadhi ya ushuru. Je, ni original? Je, fedha zinazokusanywa kutoka kwa maelfu ya wafanyabiashara ndogondogo katika maeneo mbalimbali ya jiji kama vile pale Buguruni kila siku … zinafika kule zinakostahili kufika? Au, zinaishia kwenye mifuko ya watu fulani tu … baada ya kuwa wamepiga chapa vitabu bandia vya risiti?

Waheshimiwa Wabonge … sorry Wabunge wa jiji la Dar es Salaam pamoja na madiwani, hebu lifuatilieni suala hili kwa makini. Maana kuna utitiri wa wafanyabiashara ndogondogo nyakati za jioni na usiku … lakini haiingii akilini kwamba ukusanyaji huo wa fedha umeshindwa kuleta athari nzuri kwa jamii kwa maana ya kuona nini kinafanywa na fedha hizo. Kila siku mfanyabiashara mmoja mdogo anatema Sh. 300. Imagine, kama wapo 50,000 hapa jijini ni fedha nyingi kiasi gani … na kwa nini fedha nyingi kiasi hicho zisilete mabadiliko yanayoonekana mara moja katika mazingira na maisha yetu?

Advertisements

Written by simbadeo

June 17, 2012 at 4:43 pm

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. kama hatukuanza na mabadiliko katika maswala madogomadogo kama haya ni vigumu kufanya mabadiliko makubwa. wafanya biashara hawa wanafanya katika mazingira machafu sana , je ushuru hauhusiki na kusafisha au hata kujenga vibanda vidogo vidogo achilia mbali vyoo? mvua inaponyesha vitu viko chini kando kuna rundo la takataka, maji machafu yanatiririka jamani hadi aje mzungu kuleta strateji? Naipenda Tanzania Mungu ibariki tanzania na FIKRA ZETU

    Like

    jennifer

    June 18, 2012 at 9:51 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: