simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

African Child Day … Siku ya Mtoto wa Afrika

leave a comment »

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika. Ilianzishwa na Umoja wa Nchi Huru za Kiafrika (OAU) mwaka 1991 ili kuwakumbuka watoto wa Soweto waliouwawa enzi za Ubaguzi wa Rangi nchini Afrika ya Kusini mwaka 1976. Watoto zaidi ya 10,000 waliandamana ili kupinga ubaguzi. Watoto zaidi ya 100 waliuwawa kwa risasi katika siku hiyo. Ipo haja ya kuona namna gani Mtoto wa Afrika anasaidiwa kwenda sambamba na mabadiliko ya dunia – hasa kwa kuwapa elimu zaidi. Pichani ni Martin na mdogo wake Martina (4.5). Martin alitimiza umri wa miaka 12 tarehe 10 June 2012. Mungu Ibariki Afrika. Mungu Ibariki Tanzania.

Advertisements

Written by simbadeo

June 16, 2012 at 3:02 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: