simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ishakuwa noma … Koooote tumepita

leave a comment »

Kama ilivyonaswa pale mitaa ya Banana, Ukonga jijini Dar. Bila shaka ni mzigo wa mkaa. Ingawa haitashangaza kama ndani kuna bidhaa nyingine zaidi kama vile mbao au chochote kingine kinachosafirishwa kwa njia za sirisiri. Ukamataji unaofanywa na polisi — ni out of patriotism? au wanakuwa wamepata deal? Kuna maswali mengi ya kuuliza. Polepole majibu yatapatikana.

NB. Kilikuwa kimya kirefu. Ni sababu ya kibano. KIbano cha maisha. Natumai unaelewa. Tupo pamoja.

Advertisements

Written by simbadeo

June 10, 2012 at 11:42 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: