simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Room To Read … Kuchochea Usomaji Vitabu

with one comment

Bill (kutoka Room to Read makao makuu, San Francisco, Marekani), Richard Mabala (kutoka Tamasha) na Hamidu (Mchoraji wa kujitegemea) wakipitia kazi ya sanaa wakati wakiandaa muswada wa hadithi ya watoto.

Bi Elieshi Lema (kutoka E&D Publishing Division) na Idd (Mchoraji wa Kujitegemea) … wakiendelea na kazi.

Ilikuwa katika semina iliyowakutanisha waandishi wa Vitabu: Richard Mabala, Elieshi Lema na Deo Simba pamoja na wachora michoro ya vitabuni: Hamidu Shabani, God Chipenya na Idd pale Ocean View Giraffe Hotel mwezi April.

Makusudio ya semina hiyo yalikuwa kuandaa miswada ya vitabu vya hadithi za watoto.

Room to Read ni taasisi inayolenga kukuza utamaduni wa kujisomea. Inaendesha shughuli zake katika mataifa mbalimbali duniani hasa barani Asia. Kwa hapa Afrika imekwishaanza katika nchi za Afrika ya Kusini, Zambia na Tanzania.

Utamaduni ni mchakato unaochukua miaka mingi kuota mizizi. Jamii ya Watanzania imekuwa nyuma sana linapokuja suala la kusoma vitabu na kujisomea. Kwa hiyo ili kukuza mapenzi kwa vitabu na usomaji ni muhimu kuanza na watoto – kuwapa watoto vitabu vya kusoma. Hili ni lengo mojawapo la taasisi hiyo.

Jamii nzima tuna nafasi katika kukuza utamaduni huu. Badala ya kuwanunulia watoto pipi — zinazoishia kuleta migogoro ya kiafya, hasa afya ya kinywa — basi tuwanunulie vitabu, walau kimoja kila mwezi. Tunaweza.

Advertisements

Written by simbadeo

May 26, 2012 at 8:19 pm

One Response

Subscribe to comments with RSS.

 1. The racing games are more popular among the children. This makes it very exciting for children and even adults.
  For example, there’s a vast diversity of games offered online today, for example,
  online action games that can be played immediately without any need installation or software downloads.

  Like

  NBA 2K15 Download

  September 28, 2014 at 10:46 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: