simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Wanahabari … Uzio

leave a comment »

Haya … baada ya hapa tuelekeee wapi ili kukusanya habari? Au turudi ofisini tupeleke tulizo nazo kwanza? Ndivyo wanavyoelekea kuwaza na kushauriana.

Tina na Fortu. Hata uzio hauwezi kutuzuia kuwa marafiki na kujiandaa pamoja kuelekea kuisaka elimu. Na tabasamu pana juu.

Inasemekana watu wazima tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa watoto, baadhi yakiwamo: unyoofu, uwazi, unyenyekevu, udadisi, shauku na utulivu wa fikra. Tafakari.

Advertisements

Written by simbadeo

May 23, 2012 at 10:06 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: