simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ujenzi … mitambo

with one comment

Mitambo ya ujenzi inayotumika kwa majengo marefu. Ubunifu mkubwa. Nani alibuni hii? Wanafizikia, hebu tujuzeni. Je, watu wa SIDO wanaweza kubuni mitambo aina hii lakini midogomidogo kwa ajili ya majengo yasiyo ya ghorofa? Pengine itasaidia kupunguza ajali za mafundi wetu wa kawaida kuanguka kutoka kwenye majukwaa wanayojitengenezea — hasa kwa kupanga matofali na mbao. Siku njema.

Advertisements

Written by simbadeo

May 15, 2012 at 8:10 am

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Asante sana mdau wetu japo uliahidi kufika mitaa ya Kitunda Mzinga lakini hujafika maana hujapata helkopta.Hapa kuhusu SIDO najiuliza sana lakini jibu hakika hakuna juu ya kile kinachoendelea huko makao makuu Upanga na mikoani.Ile mitaa ya SIDO mikoani siku hizi ni biashara zaidi na siyo ufundi tena.Maandiko ya miradi kila siku na maendeleo kwa mwendo wa jongoo.Hakika tuamke na tuunganishe SIDO na VETA ili tuachane na kusoma na tuanze kujifunza.Mzee Karume kule Unguja alisema:”TUMESOMA HATUKUJUA,TUMEJIFUNZA TUMEFAHAMU”.Hadi wakati ufaao siku zijazo kwa heri kwa sasa na daima endelea na SIDO.

    Like

    Ray E.Njau

    May 15, 2012 at 12:48 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: