simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar … Taswira kiduchu

leave a comment »

Anga la Dar linavyozidi kukwanguliwa. Hapa ni Barabara ya Morogoro upande wa Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) kuelekea Jengo la Umoja wa Vijana wa CCM.

Mwonekano wa Shoprite Super Market iliyo Barabara ya Nyerere, jijini Dar es Salaam, kama ilivyoonekana siku ya Ijumaa iliyopita wakati ambapo kulikuwa na hali ya mvua.

Maendeleo ni watu. Watu wenyewe ndiyo sisi. Je, pamoja na haya tunayoona machoni, huduma za jamii zinatufikia katika viwango vya kutosha na kuridhisha? Je, tunamudu maisha kwa viwango vinavyostahili? Je, tuna umiliki kamili wa uchumi wetu? Je, kuna matabaka katika jamii yetu? Kama yapo, tofauti iliyopo kati ya tabaka la juu na lile la chini ni kubwa kiasi gani?

Ni tafakari ya Jumatatu. Wiki njema.

Advertisements

Written by simbadeo

May 14, 2012 at 10:18 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: