simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mothers’ Day … Stay blessed

leave a comment »

Happy Mothers’ Day … Heri ya Sikukuu ya Mama Zetu.

Ninawatakia akina mama wote popote mlipo ulimwenguni sikukuu njema. Hii ni pamoja na ‘potential’ akina mama, yaani watoto wote wa kike. Ni matumaini yangu kwamba kadiri siku zinavyokwenda ndivyo duniani panavyozidi kuwa na usawa zaidi ambapo jinsia si kikwazo kwa maendeleo ya mtu yeyote. Pongezi nyingi pia kwa akina mama ambao kwa sababu moja au nyingine wametelekezwa na wenzi wao huku wakiwa na watoto. Bila shaka ni jukumu kubwa sana hilo. Lakini msikate tamaa. Endeleeni kuwapa watoto wenu upendo na miongozo ili waje kuwa wanajumuiya bora zaidi. Maisha ni mapambano na hayana budi kuendelea. Tupo pamoja sana.

Advertisements

Written by simbadeo

May 13, 2012 at 12:34 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: