simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Uhuru Stadium … Kuelekea kung’ara

with 2 comments

Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam …

Uwanja wa Uhuru umefumuliwa na unasukwa upya. Swali la uchokonozi … hivi uamuzi wa kuufumua uwanja huo na kujenga mpya hapohapo ulitumia vigezo gani ili kuufikia?

Je, ingekuwa vipi kama resources hizo zingetumika kujenga uwanja mpya mahali pengine … mbali na hapo Taifa? Yaani, ili kutawanya viwanja vyenye hadhi badala ya kuviweka pamoja? Je, ni vema kuweka mayai yote kwenye trei moja?

Mathalani, ingekuwa vipi kama kiwanja hicho kingepelekwa kule Kibaha? au hata kwingineko pembezoni mwa Dar es Salaam? Nawakilisha.

Advertisements

Written by simbadeo

May 8, 2012 at 12:58 am

Posted in Siasa na jamii

Tagged with , , ,

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Swali zuri ..ambalo sina jibu kwa kweli…

  Like

  Yasinta

  May 8, 2012 at 1:15 am

  • Da Yasinta … ndiyo hivyo, hatuna budi kusaka majibu kwa maswali hayo. kaazi kwelikweli.

   Like

   simbadeo

   May 8, 2012 at 8:27 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: