simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

France … People’s power yanena

leave a comment »

Rais mpya wa Ufaransa, Hollande, aliyemwangusha Sarkozy katika uchaguzi wa Ufaransa jana. Mtikisiko wa uchumi ulioikumba Ulaya umekuwa na mchango mkubwa sana katika mabadiliko haya ya serikali. Sasa inaingia serikali ya Kisoshalisti. Kwa ujumla watu wamechoshwa na wanataka mabadiliko. Watayatafuta mabadiliko hayo kwa njia yoyote wanayoweza kuipata.

Nimefurahishwa na mabadiliko haya, ndivyo anavyosema raia huyu wa Ufaransa mara baada ya matokeo kutangazwa.

Ni furaha kwa MABADILIKO yaliyoletwa na sanduku la kupigia kura huko Ufaransa.

Je, Tanzania ina cha kujifunza kutokana na uchaguzi uliofanyika Ufaransa? Bila shaka kuna mengi ya kujifunza. Umma una nguvu kubwa. Umma unapochoshwa na unapotaka mabadiliko hakuna wa kuweza kuzuia. Kama kuna kizuizi, basi kinakuwa ni cha muda tu. Ulimwengu umeamka na unataka kusonga mbele. Wale wanaokwazakwaza mabadiliko ya dhati basi wajue kwamba mafuriko ya nguvu ya umma yatawang’oa. Uhuru. Amani. Mshikamano. Uwazi. Heshima kwa binadamu. Uwajibikaji. Hizi ziwe nguzo za utawala bora.

Advertisements

Written by simbadeo

May 7, 2012 at 2:22 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: