simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Simba vs Yanga … kizunguzungu

with 2 comments

Kulikuwa na burudani kibao nje ya uwanja …

Na watu walikuwa kibao kufuatilia burudani hizo … huku wakirushiwa kidogo kidogo taarifa za nini kinaendelea ndani

Ulinzi na escort kibao …

Penye harufu ya fedha panavuta … biashara kedekede

Ushangiliaji mwingine ulikuwa hatari kweli kweli …

Kuna wengi sana waliotamani kuingia ndani … lakini kwa sababu hata ile buku 5 (Sh5,000) ni kasheshe kuipata … basi walisubiri zile dakika za ‘fungulia mb.a’ … Kila baada ya dakika chache palizuka tafrani kati yao na walinzi.

Takribani dakika 15 kabla ya mchezo kumalizika … Mashabiki wa Yanga walianza kusanzuka mmoja baada ya mwingine … Maana goli la tano lilikwishatinga na wao walikuwa bado ni sifuri.

Tina Bahati mwenye umri wa miaka 4 na miezi 5 alibashiri mapema ushindi wa Simba SC. Alibashiri vipi … tazama hapa chini:

Alimchora mama yake (ambaye ni shabiki mkubwa wa Yanga) akiwa amevaa vazi jekundu (rangi ya Simba) huku mvua ikinyesha na kuna mawingu mazito (kuna imani kwamba siku mvua ikinyesha na Simba inacheza, basi Simba hushinda!). Kwa hiyo, nimeweka hapa mchoro huu kama zawadi kwa Wana Msimbazi — Simba Sports Club — kwa kuwachapa wapinzani wao wa jadi, Dar Young Africans (Yanga) mabao 5 kwa 0. Ama kwa hakika hii ni historia …

Advertisements

Written by simbadeo

May 6, 2012 at 11:51 pm

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Japo mm n yanga bt huo n mpira xo hatuwez kata tamaa hata kwa vle uongoz unalegalega pia viongozi walivyfnya xo ishu hata kdogo

  Like

  Johnson mtenga

  May 7, 2012 at 6:20 am

 2. kubali matokeo bwana yanga wachezaji wamechoka hata kama mimi ni mshabiki wa yanga lakini lazima ukweli uwekwe wazi.Tumechapwa vizuri sana ila cha msingi lazima kocha akae na kujiangalia wamekosea wapi na kufnya crrectionz mara moko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Like

  mwanamapinduzi

  May 7, 2012 at 3:35 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: