simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bahari … jimwage

with 2 comments

Jiachie … usijishikilie.

Hivi ule mpango wa kutumia bahari ili kutoa huduma za usafiri wa kutoka maeneo ya Tegeta/Boko kwenda mjini umefika wapi? Wenye mapesa … fursa hiyo ya kuwekeza. Mtasaidia sana kupunguza foleni kwenye barabara ya kwenda Bagamoyo. Vituo ni vingi. Wenye kuhitaji huduma hiyo ni wengi. Kwa hiyo fursa ya biashara ipo. Kikubwa ni kuhakikisha tu kwamba vyombo hivyo vya usafiri vinakidhi viwango vyote vinavyohitajika kufanya safari iwe salama.

Hii ni salamu … baada ya ukimya wa siku kadhaa.

Advertisements

Written by simbadeo

April 22, 2012 at 11:03 am

Posted in Siasa na jamii

Tagged with , , , ,

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. {1}Japo sio rasmi, tupo busy na mabasi yaendayo kasi kwanza.

  Like

  STEWART PAUL.

  April 22, 2012 at 12:13 pm

  • Aaah … kweli Rapid Buses zimewaweka busy … du … mradi huo utakuja fanya kazi wakati mjukuu wangu atakapoingia kwenye siasa…

   Like

   simbadeo

   April 23, 2012 at 11:23 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: