simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Udereva … na Madereva

with 2 comments

Kazi kwelikweli. Tukisema kwamba pengine zaidi ya asilimia 70 ya madereva Dar es Salaam ni wale wa ‘leseni za kuletewa’ kuna watu watapiga kelele. Haya sasa … nani abanwe hapo? Nafikiri ni muhimu viboko vitembezwe kutoka kule zinakotolewa leseni, idara inayokagua leseni hizo, vyuo ‘vinavyotoa mafunzo ya udereva’ hadi ‘madereva’ wenyewe. Tukiwa na madereva wa namna hii … nguzo za barabarani, kingo za barabara, waenda kwa miguu, waendesha baiskeli, waendesha pikipiki na hata vyombo vingine vya moto vitaponea wapi dhidi ya ajali? Ama kweli kila kitu kinawezekana Bongo … na ni Bongo pekee!

Advertisements

Written by simbadeo

April 13, 2012 at 10:55 pm

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. yaani sijui ulikuwa wapi maana nilikuwa hapo wakati wa tukio, imagine, taa zimezimika kila mtu anajiona ana haki, zilipowaka kila mtu ana haraka. kwa kuwa leseni za nyumbani hatujui hata tufanyeje , yaani ni aibu, kutaka kuongozwa kila mahali! akili na utii wa sheria haupo kabisa!

  Like

  Jennifer

  April 14, 2012 at 7:10 pm

  • Naam, huwa tunakosa subira. Katika hali ya namna hiyo … tunatumia zaidi hisia kuliko akili … Bongo, it’s time to change. Thanks Jennifer kwa changamoto.

   Like

   simbadeo

   April 15, 2012 at 12:51 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: