simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

M-Pesa na Tanesco … Ndoa inayoyumba?

leave a comment »

Kwa kipindi kirefu sasa wengi tulikuwa tumeachana na kupanga foleni ili kununua LUKU. Jambo hilo liliwezekana kwa kununua kwa njia ya M-Pesa. Chini ya utaratibu huo, mtu ungeweza kununua ukiwa popote pale … nyumbani, ofisini, safarini ili mradi tu uwe na fedha inayotosha kununua kiasi cha unit unazotaka kwenye akaunti yako ya M-Pesa.

Lakini kwa takribani wiki tatu au zaidi sasa, utaratibu huu ni kama umeingiliwa na mushkeli … Kila unapojaribu kununua LUKU kwa njia ya M-Pesa, unaambiwa ‘kuna matatizo ya kiufundi, tafadhali jaribu tena baadae’.

Jamani, kama ndoa ya M-Pesa (Chini ya Vodacom) na Tanesco imeshindikana … si mtuambie tu waziwazi ili watu tusipoteze muda kubonyeza bonyeza huduma ambayo kumbe ilishafutwa? Kuweni wazi … matatizo ya kiufundi kwa mwezi mzima???? Kweli?? Ona sasa mnavyotufanya turudi kwenye enzi za ujimaaaa kwa kupanga foleni na kufuata LUKU masafa marefu … aaaaaghhhrrrr!

Advertisements

Written by simbadeo

April 8, 2012 at 11:44 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: