simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Barabara … kwa nini ujenzi wake ni aghali

with 2 comments

Baadhi ya mitambo ambayo hutumika katika ujenzi wa barabara. Kama inavyoonekana ni mitambo ya gharama kubwa sana. Uendeshaji wake – kuanzia mafuta na usafirishaji – ni wa gharama kubwa. Kwa kutazama mitambo hii tunaweza kupata picha kwa nini ujenzi wa barabara ni ghali. Hata kama ni kipande kidogo cha barabara – gharama yake ni ya juu sana.

Pengine utakubaliana nami sasa kwamba kwa msingi huo, tuna kila sababu ya kuhakikisha tunatunza barabara zinazojengwa. Hii haijalishi ni barabara za viwango gani. Sote tuna wajibu kuhakikisha kwamba miundombinu hii inatunzwa ili idumu. Tusiache jukumu hili kwa serikali peke yake. Unaposababisha ajali, unapogonga kingo za barabara, unapopitisha motokali yako kwenye kingo za barabara, unapomwaga oili na mafuta barabarani, unapochimba barabara ili kupitisha bomba la maji, utambue kwamba unalitia Taifa hasara kubwa sana.

Tafakari ya leo. Barabara ni muhimu. Barabara ni ghali. Tuzitunze na kuzithamini. Sote tunawajibika.

Advertisements

Written by simbadeo

April 1, 2012 at 3:23 pm

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Naitwa Emmanuely nipo Mbeya nataka kujua chuocha mitambo ya barabara Tanzania na adda kwaujumla

  Like

  Ahazi otineli

  April 3, 2014 at 3:31 pm

  • Ahazi. Asante kwa maoni yako. Pengine ni vizuri utembelee ofisi ya Mhandisi Mkuu wa Mkoa kwa ufafanuzi zaidi katika mkoa wako. Karibu sana.

   Like

   simbadeo

   April 4, 2014 at 3:51 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: