simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar … kila mmoja na hamsini zake

leave a comment »

Ndiyo … hata wewe na mimi. Kila mmoja ana hamsini zake. Lakini ndivyo maisha pia yanavyotutaka tuwe siku hizi. Hakuna muda wa kupoteza. Wakati ni mali – wenye hekima walisema. Maendeleo yatakuja endapo kila mmoja wetu ataheshimu kazi inayompatia riziki. Hiyo haitoshi. Ni muhimu pia kila mmoja aheshimu kazi ya mwingine. Heshima. Kuheshimiana. Jambo hili halihitaji fedha utitiri ili kulitimiza.

Kwa hiyo basi, ujumbe wa leo: heshimu kazi yako, heshimu kazi ya mwingine. Wakati mwema …

Advertisements

Written by simbadeo

March 27, 2012 at 10:53 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: