simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mwese … memorabilia

with 4 comments

Lugonesi … kwa Bw Hamis Kapafya

Kutoka No. 10 … kupitia hospitali … anga la Mwese

Kona maridhawa … unakaribia na ilipo hospitali …

Pengine unaifahamu familia hii … wanaishi Namba 2

Kuelekea Kanisa – Parokia ya Mwese

Kanisani …

Namba ngapi vile hapa …

Uelekeo wa Namba 10 …

Rafiki … katika barabara nyofu … Waweza kumtambua?

Zahanati … kusubiri huduma …

Maua haya yanaitwaje? Kwa wanaoyakumbuka? Basi. Kwa leo tumeokoteza hizi. Usiku mwema.

Advertisements

Written by simbadeo

March 22, 2012 at 12:07 am

Posted in Siasa na jamii

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Picha nzuri sana yaani zinaonyesha uasili wetu…nimezipenda ingawa kama hapo Zahanati mama anasubiri kwa muda mwingi…

  Like

  yasinta/kapulya

  March 22, 2012 at 11:44 am

  • Naam. Da Yasinta. Tuutunze na kuuenzi uasili wetu. Ardhi yetu. Maisha yetu. Uhai wetu. Utamaduni wetu. Uhuru wetu.

   Like

   simbadeo

   March 23, 2012 at 10:47 pm

 2. Bravo Simba!

  Like

  Reginld Komino

  March 22, 2012 at 12:13 pm

  • kaka deo, sorry, nakutafuta kwa ushauri wako, nafanya kazi na organization yaitwa room to Read, ninaweza kukuona wapi. asante
   nategemea kusikia toka kwako.
   asante tena
   Mhando J.

   0787847776

   Like

   Jennifer

   March 26, 2012 at 4:14 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: