simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

The tube … natural

with 4 comments

Je, umewahi kupita njia hii? Muda huo ni saa 9 alasiri. Jua la Dar limechachamaa. Lakini nilijisikia burudani wakati napita hapo. Kivuli kiliniburudisha. Upepo mwanana nao ulinituliza. Kwa muda nilisahau changamoto zangu. Tutembee. Mara nyingine, magari na pikipiki hutusahaulisha uzuri wa kutembea kwa miguu. Jumapili njema.

Advertisements

Written by simbadeo

March 11, 2012 at 2:19 pm

Posted in Siasa na jamii

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Asante Simba! Kutembea kunaburudisha, tena kuna kupa mazoezi, huwezipata diabetics etc. Zaidi picha hii inanikumbusha Theology of environment. Mateso tunayopata na joto la dar ni kutokana na kutokuwa na mwamko wa kutosha kupanda miti. Kumbuka Morogoro, barabara itokayo Stendi ya zamani kwenda Makao makuu ya mkoa mlimani. It’s really lovely. Jumapili njema, upumzike vizuri kwani ‘monday morning, fresh for work!’

  Like

  Reginld Komino

  March 11, 2012 at 4:35 pm

  • Yeah, Reggie, ‘Monday morning fresh for work!’ … mbali sana … enzi zile za Egfrid Tonz.

   Like

   Deo Simba

   March 12, 2012 at 8:18 pm

 2. mambo ya Pugu road hapo.

  Like

  Peter

  March 12, 2012 at 8:07 pm

  • Peter. Umenena. Naona uko makini sana. Wapo wengi tu ambao hupita hapo lakini wasingeweza kupatambua katika picha. Thanks.

   Like

   Deo Simba

   March 12, 2012 at 8:16 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: