simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Embe … sasa ni dola moja

with 2 comments

Nimeyakuta haya mahali. Moja linauzwa Sh1,500. Dola 1 ni sawa na Sh1,590 kwa sasa. Hii maana yake ni kwamba imefika mahali tunanunua embe dodo moja kwa dola moja! Ama kweli … tumefika tulikofika. Mwaka jana kwa kiasi hicho cha fedha ningepata embe dodo nne mpaka tano … lakini sasa? Kufa hatufi leo … lakini chamoto tunakiona.

Advertisements

Written by simbadeo

March 11, 2012 at 12:26 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Lakini kila kukicha unaambiwa uchumi unakua, tena kwa %4

  Like

  Elias

  March 11, 2012 at 1:08 am

 2. Simba, umeona hilo? Bili za nyumba je? Hata gari iliyouzwa milioni 4 sasa inauzwa milioni nane hadi kumi. Serikali inatambua hayo? Mishahara inatakiwa ipande kwa 100% ili tuweze kuishi, la sivyo kwa kuwa lazima tuishi watu watabuni mbinu mbalimbali za kujipatia kipato nje ya mshahara, na hii ndiyo rushwa, wizi nk

  Like

  Reginld Komino

  March 11, 2012 at 12:28 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: